WanaJF!
Ni imani yangu wote tunafahamu kuwa aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini (simtambui Liundi), jaji Tendwa, amestaafu kwa mujibu wa sheria.
Jaji Tendwa alitumikia...
Ni kweli ccm imekufa wana jf sasa hivi kuna makundi matatu na sio mawili kama zamani kuna kundi la LOWASA ambalo ni wanaccm wenye pesa nyingi,mafisadi,magaidi na majambazi walio kubuu.kundi la...
IMEKUWA wiki ngumu kisiasa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho viongozi wake wa kitaifa wanahaha kila kona kujaribu kunusuru mgawanyiko uliopo.
Mambo matatu makuu yanayokiandama chama hicho...
Hii ni kuonyesha kuwa sasa mchakato wa katiba mpya unazidi kuiva. Waziri Lukuvi leo amewasilisha kwenye kamati ya bunge ya katiba na sheria muswada wa sheria ya kura za maoni.
Muswada huu...
Wana JF,
Najua Mch Mtikila ni mwasisi wa mjadala wa kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika,lakini katika mjadala wa Muundo wa muungano ktk katiba mpya,sijamsikia Mtikila akichangia.Kulikoni?
Siku moja baada ya kutangazwa rasmi kwamba aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amestaafu kwa mujibu wa sheria, amejitokeza na kueleza yaliyo moyoni mwake.
Katika mahojiano...
Kiswahili hiki cha waswahili ni kama mwanaharamu huko pwani ya waswahili, masikini kimezaliwa wakati mama anajifungua akafa, kikalelewa na baba wa Kambo mwalimu Nyerere naye kwa kansa ya damu...
Nimekuwa nikisikitishwa sana kwa jinsi chama cha mapinduzi inavyotaka kuharibu mfumo mzima wa mchakato wa katiba mpya. Na kwa jinsi hiyo watanzania tukatae utumwa huo wa fikra unaotaka kuletwa na...
Jaji Warioba ameonesha kufadhaishwa na jinsi vyama vya siasa vinavyowalisha wananchi wake maneno ya kuongea katika kuchangia maoni ya muundo wa Katiba mpya. Amesema.......... "Sasa ninao uwezo wa...
CHADEMA should watch out:-
Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru.
Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano.
Ama Tume Huru ya...
Naomba niweke wazi, vyama hivi viwili vimekuwa vikishawishi wananchi na wanachama wake kupendekeza maoni yenye maslahi kwa vyama vyao.
CCM wamejikita kuwaeleza wanachama mtazamo wao kama chama...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mchakato wake wa uundaji mabaraza ya Katiba huku kikisisitiza msimamo wake ni kuwepo serikali mbili.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya chama...
++TAARIFA HII IMETOLEWA KWENYE GAZETI LA UINGEREZA LA DAILY MAIL LEO++
(Tribe of Ghosts: Jacquelyn Martin's pictures of albinos in Tanzania | Mail Online)
Tragic plight of the 'Tribe of...
Serikali inazidi kuamsha hasira za wanananchi tena mara baada ya hoja ya Zitto Kabwe ya kuitaka serikali ichunguze wezi wa fesha za uswizi na Mwanasheria wa serikali bwana Werema akakiri ndani ya...
Kwa aliyesikiliza hotuba ya JK mwishoni mwa mwezi atakubali yakuwa neno vita, ama mazingira ya tetesi ya vita ilijitokeza alipokuwa akiongelea mtafaruku kati ya Tz na Rwanda! Kwa jinsi hii...
Naona wametuchoka sasa... wabunge kutoka UK independent party wanasema serikali ya nchi hiyo isitishe mara moja kupeleka misaada ulimwengu wa tatu "Bongo bongo land". Wanasema sehemu kubwa ya...
Leo Jaji Simon Lukelelwa amefutilia mbali makosa ya ugaidi kwa washtakiwa watatu wanachama wa CHADEMA katika mahakama Kuu Kanda ya Tabora.
Pamoja na kutoa uamuzi huo Jaji Lukelelwa alichukua...
Kuna taarifa kuwa mishahara ya watumishi wa umma sasa itakuwa inapitia CRDB kwanza na ndipo ipelekwe katika bank zingine ili kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.
Nachojiuliza sababu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.