Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa...
Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake.
Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari...
Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya...
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya...
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.
Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Baada ya kulielezea kundi la Wanamtandao napenda tena kuwaletea Uchambuzi mdogo kuhusu kundi kinzani la Wajamaa ndani ya Chama cha Mapinduzi. Hawa wanajulikana kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu.
Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu...
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.
Hata waliokua wakimfuatilia na...
1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015
2. Kifo Cha Chacha Wangwe.
3. Kifo cha Sokoine
4. Kifo cha Membe
5. Kifo Cha Dr Mengi
6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila
7...
Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni...
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee wetu Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu mtu huyu wengi kwa kumshukuru Mzee Mengi kwa mema mengi aliyoyatenda watu wengi ila...
Mimi, Charles Andrea Kulwa, nimepokea barua yako leo tarehe 28/08/2025 ukiambatanisha na barua yenye Kumb. Na: RM/INEC/SB/01/25 ya tarehe 28/08/2025 iliyoandikwa na Raymond N. Mwema; ukinitaarifu...
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.