Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum. Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea...
89 Reactions
281 Replies
25K Views
Muonekano wa mgombea una tija sana kwa wapiga kura. Mavazi ya aina Fulani yatavutia wapiga kura vijana pekee, mengine wazee ,mengine kina mama na Mavazi mengine kina baba. Lissu Kama mgombea...
5 Reactions
40 Replies
48K Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
Wanajamvi wenzangu, Kwani mnaonaje tukaomba tena siku tatu kwa ajili ya Uchaguzi ili Mungu atupatie kiongozi sahihi kama Rais alivyotuambia tuombe siku tatu kwa ajili yakuzuia COVID-19 na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Bwanku M Bwanku Kumekuwa na mjadala kidogo kwa baadhi ya watu wakihoji kuhusu namna mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli anavyoendelea kujaza mamia kwa mamia ya watu kwenye mikutano...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa. Mgombea Urais wa Tanzania Bara...
17 Reactions
298 Replies
32K Views
Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi. Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia...
13 Reactions
53 Replies
7K Views
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
46 Reactions
84 Replies
11K Views
WanaJF Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga. Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni...
63 Reactions
247 Replies
33K Views
Nilitegemea baada ya mgombea urais wa JMT Tundu Lissu kupitia CHADEMA kumuunga mkono mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad, ungejitokeza na kupongeza na pengine...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli. 1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti. 2. Watumishi wa umma wana CCM ambao...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Ratiba ya mikutano 5 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
27 Reactions
317 Replies
34K Views
Wapendwa, Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari. Tafadhali usipange kupitwa.
1 Reactions
86 Replies
5K Views
Wasalaam wana jamvi! Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea. Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa. === Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa...
19 Reactions
66 Replies
12K Views
Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia: Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na...
62 Reactions
325 Replies
24K Views
Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums, Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua...
18 Reactions
27 Replies
2K Views
Natumaini mko wazima. Nimeona nitumie haki yangu kikatiba kutoa maoni kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea. Niseme kwamba iko wazi CCM wako kimkakati zaidi kwenye kampeni zao. Hawafanyi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom