Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.

Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa.
===
1599816445320.png
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali.

Katika Jimbo la Muheza Mgomea wa Chadema Bi Yosefa Komba amefanikiwa kushinda rufaa yake na kurejeshwa katika kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge katika jimbo hilo. Aidha, Bi Yosefa Komba atachuana na Ndugu Khamis Mwinjuma (Mwana FA) ambaye anagombea kupitia Chama cha Mapinduzi.

PIA SOMA
= >
Uchaguzi 2020 - NEC yapitia na kuchambua Rufaa 67 za Wagombea Ubunge na Udiwani
 
Mwana FA nilikupenda sana ila myfriend muziki wa huyo mtoto wa kike ni habari nyingine, anacheza na jukwaa anamwaga sera kwa vina kama vile wewe ukiwa stejini unavyo-rap, sasa juzi nimekuona umeshika mic Muheza unatetemeka sijui itakuwaje jamaa yangu.
 
Back
Top Bottom