Uchaguzi 2020 Kama tulivyofanikiwa kwenye COVID-19, tumshirikishe Mungu kwenye hili la kumpata kiongozi sahihi

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Wanajamvi wenzangu,

Kwani mnaonaje tukaomba tena siku tatu kwa ajili ya Uchaguzi ili Mungu atupatie kiongozi sahihi kama Rais alivyotuambia tuombe siku tatu kwa ajili yakuzuia COVID-19 na likafanikiwa.

Kumbe inawezekena. Basi hata kiongozi mzuri anatoka kwa Mungu kama tutamshirikisha, ili tupate kiongozi sahihi basi Tumshirikishe yeye alie tusikiliza ile kipindi cha majanga.

Mungu ibariki nchi yetu.
 
Ukiona Mtu anamtaja taja sana MUNGU kwenye hadhira ujue mtu huyo ana mambo mazito na machafu sana nyuma ya pazia, kwa hiyo upenyo wake wa kujificha ni huko kutaja taja hilo jina. Lakini yote kheri duniani tunapita na hakimu ni MUNGU pekee.

Jambo la kuombea nchi yetu kwasasa ni Amani nasio kiongozi bora, kwani MUNGU hajatuwekea mifumo hii ya utawala bali ni akili zetu na utashi wetu.
 
Uko bar gani kwani maana huyu sio wewe.
Ukiona jitu linamtaja taja sana MUNGU kwenye hadhira ujue mtu huyo ana mambo mazito na machafu sana nyuma ya pazia, kwa hiyo upenyo wake wa kujificha ni huko kutaja taja hilo jina. Lakini yote kheri duniani tunapita na hakimu ni MUNGU pekee. Jambo la kuombea nchi yetu kwasasa ni Amani nasio kiongozi bora, kwani MUNGU hajatuwekea mifumo hii ya utawala bali ni akili zetu na utashi wetu.
 
Mlifanikiwa kwani mlifanya nini? What did you do to contain the pandemic? You just left nature to take its course, serendipity was our "innovative" measure. Fortunately, nature/serendipity was on our side!

There was no scientifically proved deliberate innovation done to arrest the spread of the virus! Had it not been for "nature" to be on our side, the death toll could have been unbearable!
 
Dikteta uchwara anajua kuombea uchaguzi nj kujiharibia Credibility.
Ataonekana kama yeye hajateuliwa na Mungu kuongozs nchi.

Yawezekana Pia anaogopa Maombi kuhusu uchaguzi anamuogopa Mungu!

Pia yawezekana Bado mudawa Hayo maombi.
 
Mlifanikiwa kwani mlifanya nini? What did you do to contain the pandemic? You just left nature to take its course, serendipity was our "innovative" measure. Fortunately, nature/serendipity was on our side! There was no scientifically proved deliberate innovation done to arrest the spread of the virus! Had it not been for "nature" to be on our side, the death toll could have been unbearable!
Lakini unazani sayansi tuliyo nayo nikubwa kuliko wengine amka.
 
Hivi kwenye covid tulifanikiwa kutokomeza ugonjwa kwa miujiza ama tulifanikiwa kuficha taarifa na kuacha kupima watu?
 
Maombi maombi maombi
Muda mzuri tujiombee na tuiombee nchi
Uposahihi mkuu, kwani tayati Mungu amesha mfahamu nani atakaekua kiongozi mkuu wa nchi, na Mungu ametujua zaidi hata kesho yetu. Ni muhimu sana kujiombea na kuiombea amani ya nchi.
 
Back
Top Bottom