Uchaguzi 2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
FB_IMG_1599489329003.jpg
FB_IMG_1599489319109.jpg
FB_IMG_1599489312460.jpg

Subpost 2 - Hii ndio Bunda kwa @bulayaester jamaa amepita hapo juzi akasema wasi ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Hii ndio Bunda kwa @bulayaester jamaa amepita hapo juzi akasema wasi ( 360 X 640 ).jpg

Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
 
Kweli nimeamini watanzania wana jambo lao October 28 na ni LAZIMA litimie.. mtaa wa saba wamebakia midogo wazi kama wamefumaniwa!!
Hakuna aliyetegemea come back kali namna hii baada ya kuzibwa midogo kwa miaka yote 5.

Hongera sana watanzania, kweli safari hii mmeamua kweli kweli. Piganieni nchi yenu irudi katika misingi yake ya Upendo, Haki na Mshikamano. mrudi kwenye enzi zenu za siasa kama utani na si vita.
 
Wananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM..............

Eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!

Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake yeye mwenyewe Jiwe, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema na wasio na chama.

Kwa ubaguzi anaoonyesha wazi wazi, basi ni bora angewatangazia wananchi hao anaowatisha ili awaeleze pia iwapo watachagua wapinzani hawataendelea kulipa kodi
 
Wananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM, eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!

Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema.
Bunda mmetisha fukuza hao ccm mbali kabsa.nikirusi zaidi ya corona.
 
Wananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM, eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!

Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema.
Hiyo Ni matokeo ya katiba mbovu, mtu mmoja anazuia maendeleo wakati Kuna bunge
 
Hata kama wewe kwanini usishangae!!,kupigwa risasi Lissu ndo imekuwa sera ya waomba kura wote wa Chadema?
Tukio la Lissu bado ni tata ana/wana haki ya kulisema, na unaposema ndio sera ya waomba kura wote ni uongo ulipitiliza. (Nisiliseme hili tuliambiwa lisijadiliwe eti)

Mbona mkuu hukushangaa hoja za kibaguzi za mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom