Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).
Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na...
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya...
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana...
My Take
Hii ilisababoshwa na uwekezaji wa kukurupuka wa Serikali na watu.
Kiufupi real estate investment ni hasara kubwa.
https://www.instagram.com/p/DNYGsfCpWvJ/?igsh=dHZxOXBkYXp2YTdp
Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja.
Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge.
Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba...
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha...
Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana...
Chadema mwaka 2005 ilikuwa inasafirisha wanachama wake kwa Mafuso kwenda kwenye mikutano ya Kampeni lakini Leo wanaumia roho wanaccm kutumia treni na Yutong kwenda mikutanoni
Chadema msiwe na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda...
02 September 2025
CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM
https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI
Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni...
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana
Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi
Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha...
Hamjambo!
Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa.
Kusema CCM ni majizi ya Kura huku...
"KILA KATA NITALETA MASHINE ZA PHOTOCOPY YA MITIHANI" kila kata 20 ambazo zinapatikana katika jimbo la mtumba mhe mtia Nia wa ubunge jimbo la Mtumba amesema kuwa "mwezi wa kumi na moja baada ya...
Huwa nawashangaa sana watu wanaodai eti magufuli anakuja kufanya yale yalimshinda Kikwete. sasa najuliza Kikwete mtoto wa mjini kashindwa atawezaje Magufuli ambaye hata system inavofanya kazi...
Mmekuwa wagumu kusikia mahitaji ya watanzania. Kwamba kila anayeyasema sana yuko mafichoni, gerezani, ana kesi mahakamani, kapotea, au kauwawa?!
Kwamba kwenye agenda zenu hakuna mnapoongelea...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume...