Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karma,Novena vimeanza kujibu,yule Mzee aliyeenda nyumbani kwa Baba wa Taifa kumsema vibaya kumbe Baba wa Taifa anamsikia dirishani,wengine wanaita press halafu hawatokei wanakatazana wenyewe kwa...
2 Reactions
4 Replies
424 Views
Asante kwa kuamua kusoma peji hii. Naamini utajadili hoja ukiwa na fikra huru na c utumwa wa fikra. Wapo watu wengi sana wanaozani kuwa kumkosoa mbowe ni kuitukana chadema hili si kweli kabisa...
1 Reactions
181 Replies
19K Views
=== Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye...
2 Reactions
6 Replies
358 Views
Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini...
2 Reactions
1 Replies
379 Views
Bila shaka Polepole anauwasha moto! Na kwa namna anavyoachia vipande vyake kwa awamu, inatisha, na kuogopfya ,hasa kwa wahusika! Bahati mbaya Kuna segment kubwa tu ya Watanzania hawajuai hata...
19 Reactions
72 Replies
3K Views
Wasalam. Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona...
31 Reactions
113 Replies
9K Views
Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia...
66 Reactions
199 Replies
29K Views
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu) Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi Unasikia Yuko wapi Jakaya...
20 Reactions
111 Replies
9K Views
https://vm.tiktok.com/ZMAMVeYBo/
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/75BCyq8wmtw?si=_JM6YbzjI4WT5SjH Habari Watanzania, naomba nifanye uchambuzi wa kina kuhusu Siasa za Tanzania. Historia ya Vyama Vingi Nchini Tanzania Kipindi cha...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
== Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya tatu katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo ya kuharakisha maandalizi ili...
4 Reactions
14 Replies
801 Views
Tumsikilize leo anajambo gani Updates... Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
#Mchakato ndani ya CCM Warejewa # Gazeti la Jamhuri lahusishwa # Kauli za Membe zazua gumzo # Zanzibar kumbe ni Mtego # Matamko ya Vijana wa CCM ni shida # Kauli ya JPM Arusha yazua utata #...
11 Reactions
82 Replies
21K Views
Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi? Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji...
4 Reactions
4 Replies
338 Views
CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo. Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
10 Reactions
34 Replies
2K Views
JWTZ mna jukumu la kuilinda na kuitunza Katiba ya JMT, kikatiba wananchi Wana haki ya kuchagua chama wakitakacho na mtu ana haki ya kuchagua chama anachotaka kugombea. Kitendo Cha CHADEMA...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi. Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule...
3 Reactions
20 Replies
952 Views
Back
Top Bottom