DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth...
Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama?
Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa...
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa...
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.
Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa...
Mimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu.
Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
Wadogo zangu vijana wa Kitanzania habari zetu. Mimi ni kijana mkubwa 40+ na napenda niwaandikie barua kutoka moyoni kwangu kwa ninayo yaona miaka hii na kwa nchi yetu ya Tanzania. Mambo nitakayo...
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Bakari Bakari Shingo, kuhusu Serikali kukemea vitendo vya kutoza gharama za matibabu kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5, Naibu waziri wa...
SISI CONTENT CREATORS WA JF NA MITANDAO MINGINE TUNASUBIRI KWA HAMU HAYO MABILIONI. CHONDECHONDE MAKONDA TUTAONANA WABAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwenye hii nchi ya Tanzania, moja...
Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo.
Suala la sifa halina msingi ya maendeleo kwa wananchi wala...
Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana.
Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge...
Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi.
Ni bunge haramu hilo linaenda kinyume na makusudi ya kuundwa kwake ni wawakilishi wa...
Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha.
Hivi unamwambia...
Kwa kuangalia mwenendo wa vyama vya siasa na matokeo u
ya kile kinachoitwa Demokrasia ya Vyama vingi Kwa Nchi yetu na Nchi nyingine,Je unaona Kuna haja ya kuendelea na mfumo wa Vyama vingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania Ya Rais Samia ipo Vizuri sana kiuchumi,uchumi wetu ni Imara sana ,Uchumi wetu ni wenye afya na ulionawiri. Ndio sababu mnaona hata shughuli za ujenzi zinaendelea...
UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia.
Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi...
Wakati Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu ikiendelea kukamilisha kazi yake ya miezi mitatu, picha inayojionyesha kwa sasa, CCM ina machaguo mawili tu, ama...