Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua...
Rais Samia anaendelea kuacha alama za Uongozi Bora na wenye faida Kwa watu wake .
Mashuhuda wa hili ni wakulima wa Korosho ambao Kwa miaka Mingi wamekuwa wakitaabika na Kilimo Cha Korosho lakini...
"Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na...
Naomba ieleweke na iwekwe kwenye kumbukumbu kwamba Samia ni Rais wa vitendo na sio maneno.Soma hapa Video: Rais Samia Kuifutia Tanzania & Afrika Aibu ya Njaa.Anatekeleza Maono Ya Baba wa Taifa ya...
UKIPOTELEWA NA MTU WAKO JUA YUKO ENEO HILI KWA WALE WANAOTEKWA👇🏾
Kama kawaida yangu kuna muda nawekaga nyuzi zinatolewa Lakin baadae zinarudhishwa!
Watekaji ni akina Nani? Na wanakuwa na lengo...
hivi ni nani anaye jua uhalisia na uhakika wa deni la taifa,
kwa sababu wanasema ndani ya miaka mitano deni la taifa limeongezeka kwa karibia Trion 40
hizo pesa ni nyingi sana kiasi kwamba...
Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na...
Mtu anakaa kwenye daladala na kasimu kake ka mkopo anaandika NO REFORMS NO ELECTION then anasubiri kusikia INEC imesogeza uchaguzi mbele.
This is totally madness.
Sheria za uchaguzi ziko wazi...
Hakuna jipya duniani.
Bingwa wa kushughulika na Watu viburi duniani ni Mungu Baba wa Mbinguni.
Mtu wa kwanza kabisa kuwa na kiburi hapa Duniani ni Farao. Aliyekuwa mfalme wa Misri.
Ili...
Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine...
TANGAZO
Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45.
Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya...
Sote tunaona!
Kwa hali ilivyo sasa, endapo hatujapata Katiba Mpya sasa inayowawekea Viongozi wa kisiasa speed governor huku ikiweka nguvu kubwa kwenye mifumo ya nchi kuendesha na kuamua masuala...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini...
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika Septemba 2, 2025, katika eneo la Manzese...
Kesi ya kupinga kuondolewa kwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inaendelea kusikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya...
Zakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na...
Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara uliolenga...
Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha...
"Lakini kabla sijamaliza nataka nimpongeze na naomba msichukie hili, Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuilinda amani ya nchi yetu, Lakini pia nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama, ndugu...