Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania...
Lakini Sisi wakristo TUNAMWAMINI Mungu wa mbinguni, amesema mwalimu Mwakasege
Mfuatilie sasa kupitia Upendo tv yuko mubashara mjini Tabora
Ahsanteni sana 🙏
Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa.
Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila...
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement...
Kwa mfano Mtu anaamua kuwadanganya Chadema ni sawa anajidanganya yeye mwenyewe kwa sababu imeandikwa shetani ni baba wa Uwongo
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🙏
Mlale unono 😄✔️
Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD),
1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu
2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa
3. Tiketi za ndege daraja la...
Chadema na Haters wengine wa SSH mpo? Mnazisoma namba lakini? Nawakumbusha tuu Rais Samia alitenga zaidi ya Shilingi Bilioni 300 kuifikisha mawasiliano Vijijini Kwa kujenga minara 758 na ku...
Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya...
2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.
Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa...
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ
Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na...
Mtume Mwamposa atakuwa nchini Kenya kwa mkutano mkubwa wa kuwafungua kutoka kwenye vifungo vya shetani
Mkutano ni wa Siku 4 na utaanza tarehe 4 September
Ahsanteni sana
Mlale unono 😄🙏
Bwana Rostam Azizi aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mwanaCCM kindakindaki alitangaza kuachana na siasa alizoita za maji taka!
Hata hivyo juzi alionekana akiwa na Lowasa wakiwa kama wao ndio...
Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole...
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa madai ya kuunganisha mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi...
Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..
Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.
Mnakata internet ili wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.