Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa...
Akihutubia kampeni katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Dodoma, chenye uwezo wa kuzalisha tani 1,000,000 za mbolea kila...
Wakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam...
Habari Tanzania !
Eti mpenzi unaonaje, Wagombea waliothibitishwa na Vyama vyao na Tume ya Uchaguzi wapewe vyombo vya usafiri hoja kubwa ni; Wanatumikia umma.
Hii itachochea wagombea kujitokeza...
Wakuu!
CNBC Africa wameandika kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewazuia wagombea wa Vyama vikubwa vya upinzani kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, hatua inayomwacha Rais Samia...
Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye...
==Ndugu Wananchi, akizungumza na wananchi mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe Mrindoka amesema sekta ya kilimo katika Mkoa wa Katavi inachangia asilimia 90 ya pato la Mkoa na kuajiri asilimia 85 ya...
Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za...
Wakuu,
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu...
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii?
======================================
Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa...
Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%...
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM...
Job Opportunity at Wassha Inc. Tanzania Branch
Wassha Inc. Tanzania Branch is seeking a dedicated Human Resource Officer to join our Corporate Department in Dar es Salaam. This role provides...
Huu ndio ukweli mchungu na ni aibu na fedheha kwa CCM .
Yaani kama ambavyo ligi kuu haiwezi kunoga ikiwa mojawapo ya timu kati ya Simba au Yanga ikiwa haishiriki kwa kufungiwa au kususia ligi...
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.
Nataka sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Tuna Rais mbele yetu kama Taifa, Tuna kiongozi mwenye upendo na Taifa hili, tuna Jemedari hodari ambaye wakati wote ni Mshindi,tuna kiongozi mwenye maono...
Watu wote wamezuiwa kutumia resources za CHADEMA kama wanataka nyaraka wafungulie CHAMA kishwa waende kwa Katibu Mkuu John Mnyika na kamati tendaji yake waulize maswali kuhusu hizo financial...
Spika zilikuwa siyo nzuri, au more specifically, Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri.
Halafu nimefika pale, nimeona watu wanazuiwa kupiga picha. Mtu mmoja amekamatwa na mtu...
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye...
Kunaanza kuchangamka. Kwamba?
Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.