Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa
Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT...
Yaani anataka nao Wapewe Magari ya kuzungukia kwenye Jimbo kuomba kura kama Wagombea Urais walivyopewa na Kailima.
Kilio chake hiki hapa
Toa Maoni yako
Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo...
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.
Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.
Kitendo cha...
Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM.
CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye...
Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na...
Katika kile kinachoitwa ilani ya uchaguzi hakuna kitu Cha kimkakati hata kimoja zaidi ya vitu vyepesi ambavyo vimeimbwa toka 2021 Hadi Leo.
Hakuna mradi wowote wa kimkakati,hakuna chochote...
Wasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na...
Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao?
Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi???
Mama na Kikwete bila...
Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima kupitia ACT Wazalendo Jackson Scania: Nilizuiwa kurejesha fomu na Msimamizi wa Uchaguzi "Alikuwa radhi tuzichape" na fomu zangu alikataa kuzipokea na lilitokea...
Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya.
Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi...
Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla ameomba ushirikiano kutoka kwa viongozi na wananchi ili kuendeleza shughuli za kiuchumi zikiwemo sekta ya utalii na kilimo cha maua na mbogamboga...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa...
Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu?
Akauliza maswali magumu kidogo
1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je...
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao...
Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM?
Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.