Wakuu,
Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama...
Habari wakuu!
Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais. Niwaelezee wachache:
1. Nyerere
Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake. Kipindi hicho...
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye...
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika...
Mimi ni mdau wa jamii forum ,kero yangu baadhi ya wanasiasa waache vitendo vya kuwachukua wanafunzi kwenye kampeni za uchaguzi serikali ikemee matendo hayo haijalishi chama gani kinafanya matendo...
Niaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo...
Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili.
Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa...
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na...
Polepole amendelea kutufumbua macho.
Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!
Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?
"Wanasomeka Polepole na Gwajima...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Sije Mbughi, mke wa Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude, ambaye hajulikani alipo tangu Mei 2, 2025...
“Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.
Shahidi wa 10 katika kesi ya usafirishaji wanyama hai nje ya nchi amemtaja mshitakiwa wa kwanza, Kamran Mohamed, ambaye ni raia wa Pakistan kuwa alimzawadia Sh. 120,000 kwa ajili ya kazi...
Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo...
Mnabyozidi Kumfitini SSH ndiyo nyota yake mnaisafisha na kuiangazia Tanzania.
My Take
Royal Tour Impact
https://www.instagram.com/p/DOBQ0hDDXiw/?igsh=MXYyZWI1dWV6dDQ1cQ==
Habari wanaJF wenzang
Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa.
Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya...
Watumishi waliofichua ufisadi kamwe hawawezi kuwa sio wazalendo, bali ni mashujaa hao wanapaswa kuzidisha suala hilo bila kuchoka.
Tunapaswa kukemea ufisadi kwa nguvu zote na kwa uwezo wetu wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.