Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake Rais Samia...
5 Reactions
91 Replies
6K Views
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka. Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Hadi sasa Nimeona Bawacha wameomba Polepole awasaidie kujua aliyemshambulia Tundu Lisu kwa marisasi UVCCM kupitia chiembe nao wameomba kujua kwanini Prof Assad alistaafu Polepole sasa anaeiekea...
9 Reactions
24 Replies
918 Views
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita...
3 Reactions
15 Replies
769 Views
Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie. Mnaambulia laana na makombo...
5 Reactions
1 Replies
492 Views
Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga. Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutoka uwanja wa ndege, Dar almasi iliyokamatwa ikiwa inataka kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Ilisemwa ina thamani ya dola za kimarekani milioni 14 lakini kamati imebaini ina thamani ya dola...
24 Reactions
326 Replies
38K Views
“Iwapo angalau robo ya watu duniani wangeelewa siasa ni nini na kutambua umuhimu wake katika maisha ya kila mtu, basi binadamu wasingeweza kutawalika kirahisi.” – Alloyce, P.R.
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second...
3 Reactions
4 Replies
440 Views
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari...
3 Reactions
2 Replies
600 Views
Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
1 Reactions
109 Replies
13K Views
Wakuu Hayati Magufuli kuna wakati hakuwa na mchezo na wabadhilifu wa mali za umma, ingawa kwa sasa tunasikia wamerudi kwa kasi ya 5 G wakiendelea kujitanua Hayati aliwahi kusema yeye hajali...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia...
13 Reactions
162 Replies
5K Views
Hii kauli ya Polepole akimkumbusha Mteuzi wake aliyemtoa Jalalani bado sijaielewa vizuri Aliyemwelewa anifafanulie niko kwenye Sabato Nawatakia Sabato njema 🙏
1 Reactions
6 Replies
454 Views
Jamii Forums inakuletea wasifu wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa mwaka huu 2025. Tutaendelea kutoa nafasi kila wasifu unapopatikana kupitia uzi huu. 1. Mgombea urais wa CCM, Samia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow! Niliwahi kuandika humu thread kuhuzunika juu ya ndugu wanaoripoti ndugu zao kufia mapokezi Katika hospital za umma kwa kukosa msaada wa matibabu sababu hawana pesa. Mbaya zaidi miili ya...
1 Reactions
8 Replies
390 Views
Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi. Haya ni maswali muhimu. 1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za...
1 Reactions
4 Replies
525 Views
Back
Top Bottom