Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
1,362
2,976
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .

Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.

Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa 2024 kakiri Magufuli hakuua mtu 2019

Katika kuazimisha miezi 6 ya Makonda alitwambia JPM he was a good man kuna Tundu lissu atakuliana na Mh Makonda

Tuendelee kusubiri .
 
Kuna wadau wa Chadema kindaki ndaki yaani wale ambao hawaonagi anything positive kwa utawala mwingine hapa watamdiss sana huyu Bwana Lissu ila Big up kwake amekuwa mkweli.

I hate CCM ila kuna mambo JPM aliweza sana kuyanyoosha ni basi tu, aliiowaacha walikuwa wanafiki sana kwake.
 
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .

Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.

Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa 2024 kakiri Magufuli hakuua mtu 2019

Katika kuazimisha miezi 6 ya Makonda alitwambia JPM he was a good man kuna Tundu lissu atakuliana na Mh Makonda

Tuendelee kusubiri .

..hajapunguza ukali wa shutuma zake kwa Magufuli, ila ameongeza ukali wa shutuma zake kwa Mama Abduli.

..tatizo lenu mna mawenge ya kujaribu kumsafisha Magufuli kutoka ktk lawama za ukatili na uharibifu lakini imeshindikana.

..Magufuli ameharibu jeshi la Polisi, Mahakama, Usalama, na wakurugenzi, na kuwafanya wawe Ccm. Mama Samia anaendeleza tu juu ya msingi mbaya wa uharibifu aliorithi toka kwa Magufuli.
 
Mama is humble usimsingizie mambo ya ajabu ajabu
 
Kuna jirani yangu hapa Chadema damu damu, juzi tunapiga vyombo akasema anahisi Mbowe ni sehemu ya waliopanga njama za kumuua Lissu, kwa umri wake 60+ na mazingira yetu ya kijijini maneno yake yanafikirisha Sana!
Mimi naungana na huyo mzee
 
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .

Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.

Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa 2024 kakiri Magufuli hakuua mtu 2019

Katika kuazimisha miezi 6 ya Makonda alitwambia JPM he was a good man kuna Tundu lissu atakuliana na Mh Makonda

Tuendelee kusubiri .
Kwanza Lisu hajaeleza huo u hovyo wa Mkataba wa DP World vs Tanzania.

Pili sitarajii maoni tofauti kutoka Kwa Lisu kama Mpinzani lakini kama mtu mwenye mlengo wa ujamaa au msimamo mkali wa Utaifa yaani Nationalist sawa tuu na Magufuli kama alivyomuekeza.

Ni vyema ikaeleweka vizuri kwamba Samia sio muumini wa ujamaa Baki upebari na Biashara huria so anapenda kushirikiana na watu kutoka pande zozote za Dunia au ndani ya Nchi Ili kuleta Tija lakini hakuna Mwekezaji ambae atakuja kutoa Msaada lazima apate faida.

So long as huo uwekezaji unaleta Tija dhidi ya tulikotoka naunga mkono hoja.

Mara nyingi wajamaa Huwa hawafanyi uchambuzi wa jambo Kwa mapana yake ila Huwa wanaona wengine ni maadui,watu wa hivyo ndio hao wako tayari kuona maelfu Wanateseka huko Vijijini Kwa kukosa miundombinu ila wanatumia pesa zao kujenga miradi ya mapambo eg Sgr.

Ni matumizi mabaya ya akili, Rasilimali Fedha na kutokujali Kwa kujenga Sgr za mapambo Ili uonekane wa kwanza kufanya.

Akili ipi inakuongiza kutumia Trilioni 13 kujenga Sgr ya Dom-Dar badala ya km 8,000 za lami Nchi nzima? Kipi kina Tija Kwa watu?
 
Ni matumizi mabaya ya akili na kutokujali Kwa kujenga Sgr za mapambo Ili uonekane wa kwanza Kwa kutumia Trilioni 13 badala ya km 8,000 za lami.

..Mama, sawa na Jpm, amekwenda kinyume na matumaini ambayo Watanzania walikuwa nayo alipoingia madarakani.

..Wananchi walitarajia Mama atakomesha mambo ya kihuni na kikatili ktk siasa zetu. Hawakutegemea atakuwa na hila ktk suala zima la kurekebisha mifumo yetu ya uchaguzi.

..Huenda Mama ameshindwa na genge linalochafua na kukandamiza demokrasia yetu, au ameungana nalo kuendeleza pale alipoachia Magufuli.

..Na kama uchaguzi serikali za mitaa umekuwa wa hovyo kiasi hiki, pamoja na kusimamiwa na mwanae, Je uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa wa aina gani?
 
Kwanza Lisu hajaeleza huo u hovyo wa Mkataba wa DP World vs Tanzania.

Pili sitarajii maoni tofauti kutoka Kwa Lisu kama Mpinzani lakini kama mtu mwenye mlengo wa ujamaa au msimamo mkali wa Utaifa yaani Nationalist sawa tuu na Magufuli kama alivyomuekeza.

Ni vyema ikaeleweka vizuri kwamba Samia sio muumini wa ujamaa Baki upebari na Biashara huria so anapenda kushirikiana na watu kutoka pande zozote za Dunia au ndani ya Nchi Ili kuleta Tija lakini hakuna Mwekezaji ambae atakuja kutoa Msaada lazima apate faida.

So long as huo uwekezaji unaleta Tija dhidi ya tulikotoka naunga mkono hoja.

Mara nyingi wajamaa Huwa hawafanyi uchambuzi wa jambo Kwa mapana yake ila Huwa wanaona wengine ni maadui,watu wa hivyo ndio hao wako tayari kuona maelfu Wanateseka huko Vijijini Kwa kukosa miundombinu ila wanatumia pesa zao kujenga miradi ya mapambo eg Sgr.

Ni matumizi mabaya ya akili, Rasilimali Fedha na kutokujali Kwa kujenga Sgr za mapambo Ili uonekane wa kwanza kufanya.

Akili ipi inakuongiza kutumia Trilioni 13 kujenga Sgr ya Dom-Dar badala ya km 8,000 za lami Nchi nzima? Kipi kina Tija Kwa watu?
Wewe una uwezo mdogo wa kufikiri, hivi basi linaweza kubeba mizigo kiasi gani au abiria kiasi gani ?

Treni unasafirisha abiria au mizigo mingi kwa muda mfupi , mzigo toka Dar kwa roli ni muda mrefu kuliko hiyo treni
 
..Mama, sawa na Jpm, amekwenda kinyume na matumaini ambayo Watanzania walikuwa nayo alipoingia madarakani.

..Wananchi walitarajia Mama atakomesha mambo ya kihuni na kikatili ktk siasa zetu. Hawakutegemea atakuwa na hila ktk suala zima la kurekebisha mifumo yetu ya uchaguzi.

..Huenda Mama ameshindwa na genge linalochafua na kukandamiza demokrasia yetu, au ameungana nalo kuendeleza pale alipoachia Magufuli.

..Na kama uchaguzi serikali za mitaa umekuwa wa hovyo kiasi hiki, pamoja na kusimamiwa na mwanae, Je uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa wa aina gani?
Mambo ya saisa sio ya muhimu sana Bali uchumi ndio maana hakuna Mtanzania anahangaika sana na mambo ya saisa za Wapinzani nimiwemo Mimi.

Kwangu Cha muhimu ni uchumi uwe unafanya vizuri tuu
 
Back
Top Bottom