Hapo kwenye Mtandao ni lazima huyo Polepole atoe ufafanuzi kwa sababu ulipogawanyika mzee Sitta akaondoka na akina Dr Mwakyembe, Nyalandu, Kilango, Membe, Ole sendeka nk
Lowassa akabaki na akina...
Source: EA Radio
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge...
Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku
Kwa kushirikiana na...
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la...
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee...
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.
Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa...
Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka...
Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea.
Hakuna uwiano...
Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.
Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu...
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia...
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.
Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama...
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .
Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita...
Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie.
Mnaambulia laana na makombo...
Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga.
Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu...
Kutoka uwanja wa ndege, Dar almasi iliyokamatwa ikiwa inataka kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Ilisemwa ina thamani ya dola za kimarekani milioni 14 lakini kamati imebaini ina thamani ya dola...
“Iwapo angalau robo ya watu duniani wangeelewa siasa ni nini na kutambua umuhimu wake katika maisha ya kila mtu, basi binadamu wasingeweza kutawalika kirahisi.” – Alloyce, P.R.
Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha.
Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki.
Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.