Polepole ashitakiwe kwa uhalifu huu, kama anachosema ni kweli

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,692
Reaction score
17,182
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
 
Kwa hiyo huo mfumo upo mpaka sasa?

Upo wapi?

Amesema mwenyewe tukathibitishe kama NIDA+INEC+CCM ziko zimeungwa pamoja.

Jiulize wangapi pale CCM na serikalini na tume na NIDA wanajua kuhusu bomu hilo?

KILL THE MESSENGER???

You're joking 😜 obviously!

Mkuu ni wazi unatetea usichokijua.

Wenyewe unaowatetea wakisikia ulichosema wanafumba macho kwa aibu maana unazidi kuwafunga.
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.

Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

Pa kuanzia:

IMG_20240428_070927.jpg

Lisiachwe juu jiwe ya jiwe.

Mahaini kwao korokoroni!
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar alikuwa makamu wa Rais kama wewe ni mpenda kesi kama ccm basi washitaki wote waliokuwa madarakani kwenye utawala wa magufuli
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Ungemsikiliza Polepole vizuri ungemwelewa mfumo hauna shida shida ipo kwa wanaoushika sasa,maana SMG ni silaha Haina shinda kama matumizi na mtumishi kichwa kimetulia lakini akishika kichaa hapo ndio shida inapoanza.
 
Ibilisi wa ccm ni Chama kioga ni chama kinachomiliki mahakama yake inaitwa kisutu kina mawakiliccm akina katuga ambao ni makada wa ccm akiwemo hakimu wa ccm kinaitumia hiyo mahakama ya chama kimoja kuhukumu mfumo wa vyama vingi kwa uonevu manyanyaso makubwa, kwa Dunia ni chama pekee chenye polisi wake Duniani wanaitwa Polisiccm kazi yao ni kuwabambikia kesi za uongo chadema , ni chama cha kupenda kesi kesi umbea uonevu kuliko vyama vyote ulimwenguni sasa ni mda na wao wajifungulie kesi wenyewe kwenye mahakamaccm tuone
 
ibilisi wa ccm a k a wapenda kesi kesi za uonevu ni mda wao na wao wajishitaki kwenye mahakama yao tuone
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Ameshatubu na kuomba radhi wakushtakiwa ni hao waliobaki
 
Polepole kwasasa ni kama nguruwe ndani ya tope, ukitaka kumtoa basi ukubali kuchafuka. Swali, nani atakubali kuchafuka dakika hizi za jioni, October sio mbali mjomba.
 
Back
Top Bottom