Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama; 1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja. 2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Kama mwezi huu nilikwenda Bujumbura, nilipofika Manyovu nikashangaa hakuna mfumo wa uhamiaji kama ukipita uwanja wa ndege au Tunduma. Nikaangalia namna wale maafisa wanavyofanya kazi, nikajiuliza...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na...
35 Reactions
515 Replies
40K Views
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS...
14 Reactions
161 Replies
16K Views
Anonymous
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana. Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mh. Rais naisi Kuna watu wanakudanganya, benki zote za Tanzania kwa sasa hazitoi mkopo kwa mtu yoyote paspo kufanyika search kupitia kitu kinaitwa credit bureau, ambapo benki inayotaka kukopesha...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini...
1 Reactions
3 Replies
961 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...
0 Reactions
10 Replies
936 Views
Mheshimiwa Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana jf, Diwani wa kata ya Ikunguigazi, iliyo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, ndugu Paulo Lutandula, ameshindwa uzalendo na kuamua kutumia maneno ya vitisho na chuki dhidi ya Mwalimu wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE. Pili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa...
124 Reactions
344 Replies
27K Views
Back
Top Bottom