UTANGULIZI
Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya...
Samia to the World!!!!!
Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026)...
Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU...
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona...
Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata...
Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia...
Suala zima la kumwaga damu za watu ili muwe madarakani linatakiwa kuwauma kuliko mnavyo nadhania.
Njia itumiwayo na kanisa katoliki la kutubu dhambi pale kwenye kichumba akaacho padri na muumini...
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za...
Wanabodi,
Moja ya kanuni kuu za mwandishi wa habari is to tell nothing but the truth!,
Tangu escrow ilipoanza, kwanza
Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT...
Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba lile zuio feki la Mahakama la kuzuia Chadema kufanya shughuli za kisiasa limemalizika rasmi.
Mwanzilishi wa Zuio Hilo ni Mzanzibar Said Issah Mohamed...
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana...
Wakifikia Zanzibar hakuna tabu ila Bara watatunyapaa mithili ya kinyesi Hawa wajomba wa mama.
Ziara ya mama baada ya ushindi wa kishindo aliitwa na wajomba?
Nina uhakika aliko ana amani kuliko...
Samia siyo Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi haukuwepo kwahiyo hajachaguliwa tena. Hana cha kujiuzulu.
Labda tu asaidiane na wengine kutuletea serikali ya mpito, aende apumzike...
MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu...
Kitu alichokifanya kabudi aibu naona mimi sijui alienda kuongea nini maskini na papa kwamba unashtaki wanaopinga mauwaji.
Heti huyu ndio mnamuita genius sijui professor? ameenda kufanya kazi...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya...
Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke...
Naibu waziri wa Utumishi na utawala bora, Regina Ndege Qwaray akijibu swali la Mbunge viti maalum Latifa Juakali kuhusu serikali kutoa vipaumbele vya ajira kwa vijana wenye umri mkubwa.
Naibu...