Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua. Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na...
3 Reactions
38 Replies
804 Views
Msikilize! Pascal Mayalla Naombeni muendelee kuombea taifa letu lakini pia muendelee kumuombea Rais wetu maana kuna watu hawajui umuhimu wa rais, rais akitikiswa nchi inatikisika, kwahiyo...
4 Reactions
23 Replies
600 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili ya jana.Short version for Gen ZiiInasemekana GenZii hawana time kusoma makitu marefu, hivyo Nawawekea short version kwa numbers...
5 Reactions
26 Replies
845 Views
Ni kwamba hakuna chochote kipya kitachosaidia taifa letu. Watu wameuwawa hadi wakiwa majumbani na kwenye vijiwe vya kahawa wakiangalia Luninga. Mbona Tume ya Jaji Feleshi ilifunua ukweli wa...
7 Reactions
29 Replies
371 Views
Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa...
2 Reactions
4 Replies
195 Views
Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka...
3 Reactions
21 Replies
276 Views
Hayati Magufuli enzi za uhai wake yalijengwa Maguest house mengi chato kwa mikopo ya mabenki wajenzi walikuwa ni wale AMBAO walikuwa waliamini Mzee MAGU angeishi MILELE na ndani ya miaka yake 10...
1 Reactions
3 Replies
101 Views
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleanimkoani Tanga nchini Tanzania kuanzia mwezi Julai, Meli ya kwanza...
2 Reactions
3 Replies
196 Views
Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini...
1 Reactions
3 Replies
132 Views
Wanabodi Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo. Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa...
15 Reactions
120 Replies
10K Views
Mikataba ya serikali haramu inayofanyika kwa siri inayowahusu watanzania haikubariki inakuwa kama mtu anaingia mkataba binafsi. Sasa kipimo cha mpumbavu ndio hiko utaona anaingia mikataba...
8 Reactions
22 Replies
320 Views
Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli. Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu...
3 Reactions
24 Replies
317 Views
Leo ni katelephone. Sasa huyu ana ukweli gani atakaousema wakati ni mnufaika wa utawala aliyeiteua Tume na ni mshukiwa wa matendo àliyoyaundia tume!
4 Reactions
13 Replies
281 Views
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo...
11 Reactions
55 Replies
911 Views
Hii ni Aibu sana kwa Chawa wote wa hapa JF na kwingineko, Teuzi zote zinatoka Msoga na nyie Mamluki hamna ushawishi wowote yaani. Soma Pia: Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026...
6 Reactions
8 Replies
508 Views
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika...
1 Reactions
2 Replies
186 Views
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla...
4 Reactions
12 Replies
433 Views
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama...
22 Reactions
140 Replies
2K Views
Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe. Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo. Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi. Lakini wao wanasema direction ya...
5 Reactions
3 Replies
86 Views
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%. Ikumbukwe kuwa bado...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…