Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na...
8 Reactions
78 Replies
13K Views
Hii ni kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na baadhi ya vijana waliomaliza na kunufaika na mikopo kutoka bodi ya mikopo. Ukweli ni kwamba Upinzani ambao sasa wanajiita Ukawa waliipinga sera ya serikali...
2 Reactions
91 Replies
8K Views
Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi. Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi. Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja. Kwanza kwanini Kizinga from no where...
22 Reactions
39 Replies
3K Views
Nilichogundua ni kuwa jamii ya watanzania ina akili mno na inaelewa nani mkweli nani mwongo, yupi mbea na yupi mpiga debe, yupi mnufaika na yupi mwanamaslahi. Jamii hujitenga na mhuni, mnafiki...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai. Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na...
10 Reactions
224 Replies
33K Views
Baada ya Mengi kuwatosa wananchi wanyonge waliokuwa wanamuona ni alama (symbol) ya kupambana na mafisadi, hasa baada ya ujasiri wake wa kuwataja mafisadi papa, sasa wanyonge tutampata wapi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana. Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi. Nchi nyingi zilitumia fedha hii...
3 Reactions
16 Replies
800 Views
Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache? Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa...
77 Reactions
123 Replies
7K Views
Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana. Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.: 1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya...
2 Reactions
119 Replies
6K Views
Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM Samiah Suluhu. Huu ni mkutano wake uliofanyika Mtwara. Wananchi...
1 Reactions
433 Replies
56K Views
Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba...
6 Reactions
12 Replies
956 Views
Wale mnaosema CCM inapendelewa karibuni sana TBC muda huu
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao jana Agosti 29, amesema "Watu wanamdanganya Rais wetu kwamba anasifiwa nje ya tanzania...
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…