Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na...
2 Reactions
6 Replies
523 Views
NA J_Okay Hatimaye kampeni zimeanza, huku Rais Samia Suluhu Hassan akitafuta miaka mitano mingine ya kukamilisha kazi yake. Ionekanavyo, Rais Samia atapita kwa urahisi, ingawa idadi ya wapiga...
3 Reactions
3 Replies
591 Views
Wakuu! Mnakumbuka Agosti 28, 2025, Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
7 Replies
564 Views
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu! Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea...
31 Reactions
79 Replies
6K Views
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale...
14 Reactions
96 Replies
4K Views
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania. Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole? Kwani ni siri...
30 Reactions
179 Replies
9K Views
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Inaaminika na waamini kuwa kila binadamu aliyezaliwa huwa na kazi maalum ya kumaliza hapa duniani, na wakishaikamilisha hiyo kazi basi hunyakuliwa mara moja na kuiacha dunia. Hivyo inaminika...
46 Reactions
176 Replies
7K Views
Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele. Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma! Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
24 Reactions
57 Replies
2K Views
Tunahitaji vijana wenye uthubutu na wenye utambuzi. Yericko Nyerere Anatosha
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa...
17 Reactions
299 Replies
92K Views
Salaam! Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa. 1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo. 2.Migodi ya dhahabu yumo, 3. Makaa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa...
4 Reactions
5 Replies
578 Views
Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi. Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naam! nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea...
1 Reactions
1 Replies
543 Views
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na...
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Back
Top Bottom