GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,119
Reaction score
31,639
IMG-20250829-WA0016.jpg

Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.

Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.

Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.

NGERENGERE WANATIKI X2
 
Sasa hauoni ni kazi ya Mkurugenzi wa Manispaa!! Yeye kajionea ni moja ya mambo muhimu. Kujenga ghala mbona huyu mama anatembea na ahadi nyepesi sana.
Kwani Ngerengere ipo chini ya manispaa?
Ni madarasa mangapi,vyoo vingapi na visima vingapi vimejengwa na Serikali kuu??
Kama wanamchagua wanataka Ghala kwa nini afanyie kazi kitu kingine?
 
Samia anashindana na nani kwenye huo unaoitwa uchaguzi ?
 
Samia anashindana na nani ?
Matangazo ya Tume hujayasoma?Nyerere alishindana na nani?
Kagame ameshindana na nani?
Shi Jin ping ameshindana na nani?
Putin ameshindana na nani?
King Charles ameshindana na nani?
Mandela alishindana na nani?
Macron ameshindana na nani?
Netanyahu huwa anashindana na nani??
 
View attachment 3458627
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.

Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.

Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.

NGERENGERE WANATIKI X2
View attachment 3458634
Baada ya miaka 60 ya uhuru ndio tupo hapa?
 
Back
Top Bottom