Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeongeza siku 14 za usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama...
Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua msimamo wake kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa Katibu wa Chama na Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Akizungumza katika mahojiano ya Medani...
Watia nia Mpaka sasa
1. Tundu Lissu
2. Freeman Mbowe
3. Lazaro Nyalandu
4. Peter Msigwa,
Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu
KUNDI A
Wanaoonekana kuimiliki chadema...
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua...
Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina!.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yetu mkubwa, aliyeitwa kule. Japo hakuna...
Kuna kitu huwa nakifikiria sana—amani tuliyonayo Tanzania ni kitu kikubwa sana. Wengi wetu tumeizoea kiasi kwamba wakati mwingine tunasahau thamani yake.
Unaamka asubuhi, unaenda kazini au...
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣
Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu...
Hakika kila Mchuma janga hula na wa kwao, hawa akina Kingai na wenzake wameitwa Mahakamani, kiherehere chao cha kutunga kesi ya uongo ili kuokoa Mabosi wao kimewaponza, watadhalilika wao na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mohamed Kawaida ametoa onyo kali kwa viongozi wa serikali na wa Chama hicho wanaojifanya kuwa ni wakubwa kuliko chama hicho kwamba...
Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku...
Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf.
Huwa siachi kushangaa na kujiuliza.
Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au...
Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana,
Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba...