Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakumbushana tu maana naona maneno yamekuwa mengi ilhali CCM ina baraza la ushauri la Marais wastaafu na si kwamba Wamegoma kustaafu Ahsanteni sana 🐼
0 Reactions
8 Replies
361 Views
Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS. Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP? Huu ni...
20 Reactions
241 Replies
12K Views
Wakuu Mimi October ninatiki .
1 Reactions
12 Replies
423 Views
Hawa jamaa unawatenganishaje? Yaani ipi tofauti ya CHAUMA,ACT NA CCM?
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Msije sema ni gharama kubwa maana Haki, ukweli na uwazi una gharama zake pia. Je ni haki kwa wezi wa kura/vibaka wa kuiba kura nao pia watendewe kama vibaka wengine wa mitaani? Twende Kazi. I...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika historia ya nchi yetu hakujawai kutokea kiongozi dhaifu kama mama Samia na mbaya zaidi anatumia mbinu dhaifu ili watanzania wasigundue udhaifu wake na aendelee kuongoza hii nchi akiwa...
2 Reactions
1 Replies
213 Views
Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
9 Reactions
94 Replies
9K Views
Waziri wa Mambo ya Nje ni bosi wa Mabolizi wote Duniani. Bolozi ni vituo vya kazi ambavyo Waziri anavisimamia. Uteuzi wa DGIS umeenda sambamba na kuondoa mabosi wake wa zamani ofisini yaani...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni...
17 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo. . . Acha tuone mwisho wake
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Kwa Hakika kabisa nafahamu kwamba hakuna Uchaguzi, lakini kuna mambo ambayo kwa namna yanavyochekesha ni lazima uwashirikishe wengine. Angalia hii kura ya maoni ya Tanga Mjini, halafu jiulize...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana...
2 Reactions
1 Replies
363 Views
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari: 1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni...
3 Reactions
8 Replies
480 Views
Salaam nyote, Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda. 1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k Wengi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakutakuwa na jipya labda Chaumma na ACT wazalendo watende MUUJIZA Dominica njema 🙏
1 Reactions
7 Replies
254 Views
Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT...
1 Reactions
3 Replies
714 Views
💚 Shukrani za Dhati 💚 Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa. Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa...
17 Reactions
77 Replies
5K Views
Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu. Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka...
1 Reactions
7 Replies
287 Views
Back
Top Bottom