Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa
Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na...
Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya...
Shime wana, shime akina baba, shime Wafanyakazi, shime Wafanyabiashara. Hakuna kususia uchaguzi kama ilivyotokea uchaguzi ama uchafuzi wa serikali za mitaa. Tujitokeze tukumbushane. Fanya maamuzi...
Nimehudhuria mkutano wa Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupiti CHADEMA, Godbless Lema leo, amekuchafua sana, amemwambia DJ aweke sauti ya Rais Magufuli akieleza sababu za kutengua uteuzi wa Gambo...
Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma...
Nasubiri siku ya kesho kuangalia atakachoongea mheshimiwa kuhusu Yale aliyoyatekeleza miaka mitano mjini Bukoba.
Kimsingi mji huu yaani manispaa hii hakuna kitu chochote kutoka serikalini...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Katika kufuatilia kampeni hasa za urais, ni wazi kuwa zoezi zima la kuomba kura lisiporatibiwa vyema zaidi, kwa ujumla wake, linakuwa...
Baada ya suala la uchaguzi wa uraisi na wabunge kupamba moto. Nilianza kufanya utafiti kidogo kwa makundi tajwa kama wametimiza vigezo na masharti ya kushiriki kwenye zoezi la kuchagua viongozi...
Unajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa...
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
Ujenzi wa uwanja...
Hii hapa ni kata ya Iganzo, huyu mtu anasafisha mji kwa kushirikiana na watenda kazi wa hapohapo Mbeya akiwemo mtu mzito, John Mwambigija .
Ufafanuzi kwa wageni na wengine, hii TRIANGLE ATTACK...
Wakati Joto la Uchaguzi likizidi kushika kasi hapa nchini, Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha tayari kinadaiwa kupanga safu ya siri ya wagombea udiwani katika kata sita huku Mrisho Gambo...
Amani iwe nanyi wandugu!
Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ninaandika haya Mungu bariki hatimaye tume wakajue kuna watu tumefunga tunawaombea wao kwa Mungu ili wakapate kutenda haki. Yaani wao...
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha...
Hili suala si la kulifumbia macho ama kulidharau, ukipita kwenye kona mbali mbali za jiji la Dar utakuta ni picha tu za wagombea wa CCM ndio zimetawala mji mzima lakini Vyama Pinzani hakuna kabisa...
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa...
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.
Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa...
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"TABORA MJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili...
Ni dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.