Uchaguzi 2020 Godbless Lema kata kwa Kata Arusha ni moto, hii ni kata ya Levolosi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,689
218,192
Unajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa miezi minne bila hata kuhukumiwa.

Subpost 2 - Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbl ( 336 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbl ( 335 X 640 ).jpg
 
Attachments

  • Arusha ... Tume waita kwa tweeter na matangazo ya masaa 4 ( 640 X 640 ).mp4
    5 MB
Magufuli lazima ajifokee fokee. Alipigwa hela sana na kina Polepole, yakununua watu wa kuunga juhudi, akaota mapembe. Anachokiona sasa haamimi macho yake.

MATAGA mrudishieni hela yake au ndio kilicho enda kwa mganga hakirudi.
 
tena alipigwa kibwege sana !
 
Go Lema namuonea huruma yule aliejiapiza kuua upinzani nadhani anapata somo kubwa. Majuzi akiwa ccm Kirumba alisikika akiwasihi hadhira wavumilie kidogo anamalizia hotuba burudani ya muziki iendelee.
 
Go Lema namuonea huruma yule aliejiapiza kuua upinzani nadhani anapata somo kubwa. Majuzi akiwa ccm Kirumba alisikika akiwasihi hadhira wavumilie kidogo anamalizia hotuba burudani ya muziki iendelee.
Watu wameletwa kwa malori lakini wanataka kusikiliza muziki sio makelele yasiyo na faida ya huyo anayejiita jiwe au yesu wa chato kwa mujibu wa Lugora.
 
Unajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa miezi minne bila hata kuhukumiwa
acheni usanii
 
Hivi polepole na bashiru bado wapo ofisini!!! ?? Wafukuzwe kaziii...

Mbinu zao zote zimefeli.
 
Back
Top Bottom