Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni angalizo la kuchukua tahadhali. Hakuna tetesi au lolote, but one ought to think wider and wider. Divergent thinking! Ya dreva wa Heche itupe funzo kuwa you have to be extra careful Kama...
1 Reactions
1 Replies
54 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella ameiambia Dunia leo Mchana kwamba Bangi ya Arusha ndio inayoshikilia rekodi ya Ukali kuliko zote Duniani. Taarifa hii Muhimu imetolewa na Mkuu huyo wa Mkoa...
23 Reactions
105 Replies
9K Views
"Nitakung'oa...nakwambia nitakutumbua,unapokea mshahara wa bure unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako"..Haya ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, akimbwatukia bosi wa...
16 Reactions
362 Replies
45K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka...
3 Reactions
116 Replies
805 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi...
1 Reactions
15 Replies
285 Views
Vijana walishitakiwa kwa kigushi nyaraka na kijipatia mokopoya HESLB waachiwa huru! Msikilize anavyio jinadi
1 Reactions
3 Replies
97 Views
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya...
18 Reactions
53 Replies
644 Views
Hali siyo shwari polisi wanalipua mabomu watu wamejeruhiwa Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo. Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki...
21 Reactions
1K Replies
104K Views
Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki. Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa...
16 Reactions
29 Replies
520 Views
Wanabodi, Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo Leo Jumapili ya Agosti 25, Jumatano ya Agosti 28, kipenga cha kuanza kampeni za Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kinapulizwa...
3 Reactions
102 Replies
3K Views
Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa...
5 Reactions
33 Replies
382 Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wameshiriki katika Semina elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu umuhimu wa...
1 Reactions
5 Replies
141 Views
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM...
28 Reactions
142 Replies
16K Views
Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii...
1 Reactions
4 Replies
220 Views
Mmoja wa madereva wa magari ya kenta katika Soko Kuu Arusha amesema wamiliki wa magari wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa tozo na gharama mbalimbali zinazowafanya kuendesha biashara kwa ugumu...
5 Reactions
6 Replies
415 Views
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Frank Kimsangi, mwenye umri wa miaka 25, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake iliyopo Kitongoji cha Oltulelei, Kata ya Ilboru, Wilaya ya...
1 Reactions
3 Replies
186 Views
Simanzi na maswali mazito vimetanda katika familia ya mfanyabiashara Sifaeli Mollel baada ya mwili wake kukutwa ukiwa umeharibika ndani ya nyumba inayodaiwa kutumiwa na mganga wa jadi katika eneo...
4 Reactions
33 Replies
745 Views
Kuna wimbi kubwa mno la vijana wanakimbilia kuendeshea bodaboda, kuna kundi kubwa zaidi linakuja naomba nishauri jambo Moja tu Kila shule ya sekondari yaanzishwe masomo ya kivitendo ili...
4 Reactions
15 Replies
235 Views
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Wazee Jasiri, Tamimu Omary Tamimu, amesema si sahihi kuuita utawala wa nchi kuwa wa "kisultani" kwa sababu watoto au ndugu wa viongozi wakuu wanateuliwa kushika...
0 Reactions
9 Replies
192 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…