Rais Samia ama kwa hakika amepitia na anapitia mitihani Mingi na mugumu tangu kuapishwa kwake March 17 Mwaka 2021.
Jambo pekee linalowafunga midomo maadui zake wa nje na ndani ama kwa kutaka au kwa kulazimiahwa na Umma ni utendaji kazi wake wa kiwango cha kushangaza wengi.
Ndio maana Kila anayemsema vibaya Rais Samia mbele ya Umma anashambuliwa kutoka katika kila pande ya Dunia.
Bila record hizi Rais Samia hakika maadui zake wangeshafanikiwa hata Kabla Mungu hajamteua kuwa Rais wa JMT,
Haya maneno mazito aliyasema aliyewahi kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM miaka hiyo Ndg Shaka Hamdu Shaka.
Utabiri huu unatokea miaka minne baadae wakati ambapo Shaka Hamdu Shaka sio kiongozi tena wa chama lakini maneno yake yatutafakarishe namna Rais wetu anavyozongwa zongwa na watu wanaotaka kulipasua Taifa hili la Mungu.
Hongera sana Shaka Hamdu Shaka hii ndio dhana ya kuwa kiongozi Bora Kwani kiongozi bora ni yule anayeweza kuiona kesho Kwa mbali na kutoa kalipio na tahadhari Kwa anaowaongoza na asio waongoza
www.jamiiforums.com

Shaka: 2025 Mgombea Urais wa CCM ni mmoja tu Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania na Rais Mwinyi kwa Upande wa Zanzibar "Case Closed "
Wale wanachama wote ndani ya CCM wanaounyatia Urais wa Samia 2025 watafute kazi ya kufanya kwani kwa kauli hii ya Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Shaka Hamdu Shaka naona "Case Close " Wanaobwabwaja na kukejeli kazi nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan ujumbe huu uwafikie wote kwani fomu...