Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa...
Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike.
Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo...
Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro...
Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga...
Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote.
Yaaani...
Whatever the reason, hii ina kasoro kubwa
FAIRNESS IKO WAPI.
HAWA WANAFANYIZIANA WENYEWE KWA WENYEWE HALAFU CHADEMA UINGIE UCHAGUZI BILA TUME HURU UNATEGEMEA NINI?
Erythrocyte hakuna uchaguzi
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya...
Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la...
Mughonile!
Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa...
Wakuu, amani kwenu!
Kuna wale Wabunge wa viti maalum 19, kutokea CHADEMA, maarufu kama 'COVID 19', baadhi wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi, kwa lengo kuu, ni kugombea Ubunge. Naona wao...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye...
Siku hizi CCM haisikilizi tena mawazo ya wananchi, wajumbe wanachagua watu wao wanaowataka ili wawaongoze alafu CCM inakuja inawatoa na kuwaweka watu wao ambao tayari walishakuwa wamepanga...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma...
Sisi tunazidi kuchochea kuni..
Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale!
Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote..
Haya...
Tulishuhudia kwa Magufuli 2020
Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!!
Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa...