Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Usipojua msingi wa kura zako mtu yoyote anaweza kuibuka ana theory zake na ukamwamini Vyama vya Upinzani Tanzania havijui hata idadi ya wanachama wake Kwahiyo kama ni kuiba kura wanajiibia wao...
2 Reactions
11 Replies
384 Views
1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa...
7 Reactions
118 Replies
6K Views
Pole pole ameamua kuia Ccm kifo cha Asili , taratibu polepole usifanye hivyo tafadhari.
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Wanaosema wasanii wanaingia kwenye siasa ili kunufaika ni mtazamo tofauti kanuni na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwahiyo mtu yoyote ana...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi USSR
2 Reactions
18 Replies
855 Views
Wadau! Kwa wale wataalam wa Technolojia (IT) na wanaojua taratibu za ku-implement mfumo wowote duniani wataafikiana nami bila shaka kwa 95% kama sio 100%; Tunawaomba Viongozi wetu wa UKAWA wawe...
15 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na...
7 Reactions
170 Replies
6K Views
Kwani kuna mtu asiyejua kama mwaka huu kuna uchaguzi? Asubuhi mtu anakuuliza, “Unatiki?” Kama tumekutana, tusalimiane. Kila mtu ashike hamsini zake. Kama ukiona jambo lina faida kwako, kawaeleze...
1 Reactions
3 Replies
241 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe...
14 Reactions
133 Replies
14K Views
BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Habari wakuu Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa. Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili...
0 Reactions
12 Replies
578 Views
== Mkuu wa mkoa wa Mara akiongea mbele ya wanahabari alisema kuwa Mkoa wa Mara umeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia vituo vya Nyamongo, Musoma, Bunda na Kibara. Hadi kufikia Machi 2025...
1 Reactions
19 Replies
845 Views
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa...
2 Reactions
7 Replies
500 Views
== Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema: “Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya...
1 Reactions
16 Replies
839 Views
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya...
2 Reactions
7 Replies
416 Views
Rais Samia ama kwa hakika amepitia na anapitia mitihani Mingi na mugumu tangu kuapishwa kwake March 17 Mwaka 2021. Jambo pekee linalowafunga midomo maadui zake wa nje na ndani ama kwa kutaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwamvua Hoza Mrindoko, amesema: “Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya...
1 Reactions
9 Replies
384 Views
Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua...
1 Reactions
0 Replies
245 Views
Back
Top Bottom