Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika...
Tumeuliza hili kwa sababu ya Utaratibu wa CCM kwenye jimbo hilo ni kuwateua Wakuu wa Mkoa huo.
Sasa aliyekuwepo katoka na aliyekuwa kabla yake kagombea Ubunge, Pedeshee Makalla ndio kawa Mkuu wa...
Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti...
https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika...
Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa...
Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena.
Wananchi wa kitanzania siku...
Mpaka sasa kuna kelele chungu nzima, za kumtaka Rais Kikwete apumzike. Mimi sioni kama ni sawa; naiangalia kama kitendo cha kuingilia uhuru binafsi wa mstaafu Kikwete, kama mtu binafsi. Hata yeye...
Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka...
Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, vyama vya siasa nchini Tanzania vimeweka mkazo mkubwa katika kuzungumzia maendeleo ya teknolojia ya kidigitali na nafasi ya akili mnemba (AI) katika kuchochea uchumi...
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu
No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu
Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu...
Ndugu wana JF na jamii kwa ujumla sasa ni dhahiri kuwa hakuna jipya tena kwa hawa waganga njaa Gwajima na mwenzake polepole
Gwajima alitoa mkwara mzito kuwa baada ya siku kumi atakuja kuongea...
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba...
Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo?
Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo...
CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali.
CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
Habari za Asubuhi!
Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake.
Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo;
1. Pesa
2...