Kufanya kosa sio kosa, ila endapo ukiendelea kukosea baada ya kulitambua kosa lako la awali, hapo yafaa kabisa wewe kuwekwa kwenye kundi la wapumbavu!
Ujumbe huo uwaendee ACT Zanzibar...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu...
Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela...
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.
Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake...
Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu?
Najiuliza waliouawa...
Kama Taifa kuna muda lazima tukomeshe baadhi ya mambo nafsi inanisuta na imenisuta sana kukaa na baadhi ya mambo ambayo Nina ushahidi kabisa !
Utekaji lazima ukome,
Wizi serikalini unaofanywa na...
Habari Jamii forum
Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo ,
Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania...
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.
Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha...
Tuweni wakweli, Tanzania pesa ipo ukichapa kazi , Watumiaji wa huduma za kutuma na kupokea pesa kupitia mtandao wa simu nchini Tanzania wameongezeka kutoka milioni 32.7 mwaka 2021 hadi milioni...
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa...
Kwa viongozi wa ACT kushindwa kubaini sheria zao wenyewe hadi kufikia kumpitisha ndugu Mpina kama mgombea urais wa ACT huku akiwa na chini mwezi mmoja tangu ajiunge na ACT ni udhaifu mkubwa mno...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka...
MKURUGENZI WA UCHAGUZI
TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI
UCHAGUZI HOUSE
ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA
P.O.BOX 358 41107 DODOMA
YAH: KUPINGA MAELEKEZO YA TUME KUTAKA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO KUTOFIKA...
Tanzania tuna bahati kubwa kuwa na Kanisa Katoliki kila koma ya nchi
Leo pale Marekani Trump anahaha baada ya muhuni mmoja kuvamia shule ya Katolikii na kuuwa Wanafunzi wawili
Tuzidi kuwaombea...
Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya.
Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika.
Kwasasa kila kitu kila...
Assalam alaykum watu wa Mungu
Poleni WATANGANYIKA wenzangu kwa najua mko hoi taaban
Leo nimemkumbuka huyu Mwamba aitwaye Uday Hussein mtoto wa Sadam
Sitaki kuleta historia yake...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa...