Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu...
WOTE WEZI TU!
Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa...
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa...
Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole...
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu...
Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani...
Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya...
Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa
Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua...
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA,
20 NOVEMBA 2015
Mheshimiwa...
Mwali kaona Mapungufu yake, baada ya Novena , hivyo kupendekeza apewe Matron . Matron kasoma Sheria , hivyo anajua umuhimu wa Katiba, maana ya Uhaini, na madhara ya Kufungia Kanisa la Ufufuo na...
Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri.
Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo.
CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita...
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.