Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1.Hajui kutatua kero za wananchi?

2.Hasikilizi kero za wananchi

3.Hajali mateso ya wananchi

4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Katiba ubadilishwe. Rais akifa madarakani basi ufanyike uchaguzi
 
Watanzania ni wanafiki, mdomoni watajidai hawamkubali, moyoni yupo kajaa kakunja nne....watanzania ni watu wa kwenda na vibe......Subiri agombee uone matokeo ya uchaguzi ndo utaelewa nachokwambia.

Anyway, Mimi namkubali sana huyu mama, akigombea Kura yangu anayo.......Mama mitano tena.
 
Mbona huku nilipo watu wanampenda mno km unataka ushahidi upo na watumishi wa umma huwaambii kitu wanamkubali hatar
Asubiri matokeo ya uchaguzi ndo atajua ukweli.

Wameshindwa kumchafua mama as hana Kona Kona, wameamua kutunga Stori za mtoto ni wake fisadi🤣🤣🤣

Hivi mtu unaanzaje kusema Samia fisadi, mwizi 🤣🤣🤣 hainogiii.....Hana baya mama yetu, Mungu amtunze, akitaka tena tunampaaa mitano mingine.....hajatuangusha wanawake, ametuheshimisha mama yetu.
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1.Hajui kutatua kero za wananchi?

2.Hasikilizi kero za wananchi

3.Hajali mateso ya wananchi

4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
YAANI MAWAZO YAKO UNAYAFAYA KAMA YA WATZ WOTE? HUNA AKILI KWELI MBONA MITAANI KIL AMTU ANAMASIFIA MAMA TU WE UNAKAA TANZANI AIPI KWANI
 
maskini dah...

kuna kazi zingine ngumu sana tunachagua kufanya humu duniani, matokeo yake tunaishia kuaibika na kufedheheka tu...

ndio maana hata mtoa hoja anaona hadi aibu kutaja mdadala wa Rais alieko madarakani comrade Dr Samia Suluhu Hassan, ambae pia atawania awamu ya pili kuongoza dollar ya Tanzania, na kushinda uchaguzi kwa kishindo, katika uchaguzi mkuu ujao ambao utakua huru sana, wa wazi sana na wa haki mno 🐒
 
Lucas Mwashambwa na mwenzake Tlaatlaah wakiuona huu uzi watabisha.
none sense and useless theories za muungwana, zimechochewa kwa kiasi kikubwa na hisia mfu na potofu kabisa ambazo matokeo yake ni aibu na fedheha kubwa mno kwake binafsi na pengine kwa chama chake, baada ya uchaguzi, achilia mbali uchaguzi mkuu, bali huu huu wa serikali za mtaa baadae mapema mwisho wa mwaka huu 🐒
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1.Hajui kutatua kero za wananchi?

2.Hasikilizi kero za wananchi

3.Hajali mateso ya wananchi

4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Huku Mwanza hatutaki kumsikia kabisa
 
Back
Top Bottom