Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??