Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Kesi ya lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu
0 Reactions
Replies
Views
Kijana wa watu anakumbana na ulaghai wa hali ya juu pindi wanapoonana na baadhi ya wafuasi. Wanamuonyesha kuwa walikuwa hawalali, hawali, hawahemi, kunywa bia wala kujamiana wakimuaza Lissu huko...
1 Reactions
14 Replies
376 Views
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
2 Reactions
1 Replies
192 Views
Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi 1. Kodi ya aridhi 2. Kodi ya majengo 3. Lesen 4.kodi kwenye luku 5. Kodi ya miamala ya fedha 6.kodi ya...
0 Reactions
2 Replies
101 Views
Huwa sipendezwi na kauli za wanasiasa wanaposema kuwa watanzania wengi tuna ujinga na hatuna elimu hivyo hatujui haki zetu. Kwa maana hiyo unakuta tunaambiwa tunapelekeshwa tu na ccm kwa sababu ya...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
"You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili...
12 Reactions
89 Replies
1K Views
Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza...
6 Reactions
11 Replies
316 Views
Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine...
5 Reactions
21 Replies
572 Views
Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Balozi Salum anachukua nafasi ya Dkt. Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine;
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu...
11 Reactions
10 Replies
584 Views
Kesho ni siku ambayo watesi wetu wanahangaika nasi katika mahakama mbalimbali hapa nchini, wakidhani tutakata tamaa, Kesi kwa siku ya kesho ni kama ifuatavyo; 1. Jijini Dar es salaam, kesi ya...
5 Reactions
5 Replies
243 Views
https://www.youtube.com/watch?v=tx3B0RfO9-U wenzetu https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=8faEViuKjxL8ndY2 Kenya wamepata $1.6B kwenye mkutano mmoja wakati biashara ya Tanzania na Urusi ni $400M tu...
2 Reactions
1 Replies
175 Views
Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji...
7 Reactions
108 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea...
1 Reactions
2 Replies
95 Views
UZALENDO SI NINI? Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa...
3 Reactions
3 Replies
138 Views
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo...
10 Reactions
31 Replies
704 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…