Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Samia atakuwa ndani ya Morogoro ambapo mkutano wake utafanyikia viwanja vya tumbaku njia kuu ya Iringa karibu na mitaa ya uswahilini kule Chamwino, Mafiga, na viunga vyake Swali la msingi ni...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Loudly thinking! Bado sijashawishika kwamba Luhanga Mpina ameondolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi tena bila kufuata utaratibu. Sijaelewa mpaka sasa. Kuna mambo mawili ninawaza. 1. Ni kweli...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
(CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu, afya na kilimo mkoani Morogoro endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania baada ya Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
maombi yangu kwa Mungu mnapoanza kampeni muanze kuwapa msamahq baadhi ya wafungwa kama tunavyowapa siku za sherehe kadhaa mungu wa majeshi awakumbuke kwenye msamaha huu damu ya Yesu ikawafunike...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Nilienda Zanzibar kufanya utafiti wa uchaguzi wa 2025. Nilikaa karibu miezi 4 kabla sijarudi Tanzania bara, lengo likiwa ni kuangalia siasa za upinzani Zanzibar. Kila uchaguzi hufanya hivyo...
1 Reactions
13 Replies
726 Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya...
0 Reactions
11 Replies
694 Views
Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki...
6 Reactions
128 Replies
5K Views
Kiko wapi chama Cha CHAUSTA chama Cha Jemsi Mapalala Hayati Sasa?
1 Reactions
5 Replies
594 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Ahirisho la Mkutano na Waandishi wa Habari Mkutano na waandishi wa Habari na Ndg Luhaga Mpina, uliokuwa ufanyike leo Alhamis tarehe 28.8.2025 saa Saba Kamili Mchana umeahirishwa kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
1 Reactions
10 Replies
766 Views
Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda...
11 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Kufukuzwa uanachama Chadema na kukubali kufukuzwa 2. Kufukuzwa uanachama chadema na kutokubaliana na maamuzi ya kufukuzwa. SWALI: Je walio fukuzwa uanachama kama wale wabunge 19 badae...
0 Reactions
3 Replies
322 Views
Wakuu, Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana. Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama kuna jambo linalopaswa kupongezwa sana basi hospitali zinazozuia maiti kuchukuliwa na kwenda kuzikwa kama njia ya kushikinikiza walipwe kwanza gharama za matibabu waliyotoa kwa mgonjwa ambaye...
9 Reactions
13 Replies
680 Views
Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
1 Reactions
0 Replies
442 Views
Chama cha Wakulima(AAFP) kinatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake za uchaguzi mkuu mwaka huu siku ya Agosti 31 Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na mgombea Urais kwa tiketi ya chama...
0 Reactions
8 Replies
585 Views
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba...
2 Reactions
11 Replies
838 Views
Licha ya ratiba ya uchukuaji wa fomu za uteuzi wa nafasi za urais, uwakilishi na madiwani kuanza leo, lakini kwa nafasi ya urais vyama vya siasa vimeandika barua za kuomba kuchukua fomu kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
272 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…