Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais mstaafu mzee Kikwete amempongeza Rais Samia kwa kukamilisha miradi mikubwa ya kihistoria iliyoanzishwa na hayati Magufuli Source TBC Mlale unono 🙏
1 Reactions
7 Replies
398 Views
Nimeshangaa kutosikia haya. 1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa. 2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe 3. Serikali kuhakikisha utawala...
2 Reactions
11 Replies
584 Views
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya...
5 Reactions
73 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na...
39 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu habari, Kwa hali inayoendelea ya Kampeni za CCM ni dhahiri bado watanzania njaa inatusumbua sana, yaani jana watu wameacha shughuli zao wanaenda kawe kungaa macho kwa Kiongozi anayeshindwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa...
2 Reactions
3 Replies
541 Views
Uwenda watu wengi hawajuwi na huwenda wengi tunafikiri baada ya Rais wa Taifa kufa basi wakisha fukia na kupiga mizinga basi kazi imeisha. Na sasa kila mtu anaona kuna fursa basi aanze kupiga...
76 Reactions
428 Replies
42K Views
GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua...
3 Reactions
11 Replies
899 Views
CCM hii ni aibu mnajitia wenyewe Yani chama kikuu Cha upinzani CHADEMA mnakizuia kupitia Dola halafu mnagombea wenyewe hii ni aibu Kwa taifa. Yani Magufuli wa worse but mama Samia is worst...
3 Reactions
9 Replies
564 Views
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out. Hii ndiyo msg yake. Nitaongea mengi ya kusikitisha. Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka...
29 Reactions
188 Replies
15K Views
Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
7 Replies
461 Views
Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa...
2 Reactions
21 Replies
944 Views
Leo Samia atakuwa ndani ya Morogoro ambapo mkutano wake utafanyikia viwanja vya tumbaku njia kuu ya Iringa karibu na mitaa ya uswahilini kule Chamwino, Mafiga, na viunga vyake Swali la msingi ni...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Loudly thinking! Bado sijashawishika kwamba Luhanga Mpina ameondolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi tena bila kufuata utaratibu. Sijaelewa mpaka sasa. Kuna mambo mawili ninawaza. 1. Ni kweli...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
(CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu, afya na kilimo mkoani Morogoro endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania baada ya Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
maombi yangu kwa Mungu mnapoanza kampeni muanze kuwapa msamahq baadhi ya wafungwa kama tunavyowapa siku za sherehe kadhaa mungu wa majeshi awakumbuke kwenye msamaha huu damu ya Yesu ikawafunike...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Nilienda Zanzibar kufanya utafiti wa uchaguzi wa 2025. Nilikaa karibu miezi 4 kabla sijarudi Tanzania bara, lengo likiwa ni kuangalia siasa za upinzani Zanzibar. Kila uchaguzi hufanya hivyo...
1 Reactions
13 Replies
726 Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya...
0 Reactions
11 Replies
694 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…