The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,148
- 22,111
GT
Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza.
Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything.
Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na maCCM kutuhadaa wadanganyika basi maCCM hayawezi kuruhusu asimame jukwaani aanze kuharibu na hoja zake za ufisadi ambao ni ukweli.
USHAURI
Mpina angebaki hukohuko CCM apige spana kama.wenzake akina Gwajima. Hata akifukuzwa awe mwanasiasa huru apige spana maana pesa anazo kwa sasa anajishushia heshima tu