Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua msimamo wake kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa Katibu wa Chama na Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi. Akizungumza katika mahojiano ya Medani...
6 Reactions
18 Replies
392 Views
Watia nia Mpaka sasa 1. Tundu Lissu 2. Freeman Mbowe 3. Lazaro Nyalandu 4. Peter Msigwa, Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu KUNDI A Wanaoonekana kuimiliki chadema...
28 Reactions
68 Replies
5K Views
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia. Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia...
57 Reactions
742 Replies
18K Views
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua...
2 Reactions
58 Replies
760 Views
Wanabodi, Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina!. Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yetu mkubwa, aliyeitwa kule. Japo hakuna...
134 Reactions
512 Replies
48K Views
Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex Elifuraha
23 Reactions
85 Replies
2K Views
Kuna kitu huwa nakifikiria sana—amani tuliyonayo Tanzania ni kitu kikubwa sana. Wengi wetu tumeizoea kiasi kwamba wakati mwingine tunasahau thamani yake. Unaamka asubuhi, unaenda kazini au...
11 Reactions
37 Replies
314 Views
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣 Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
3 Reactions
24 Replies
234 Views
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kama kweli hili ndiyo kisa la kufanya makamu wa rais kutukuzwa. inatia huruma sana na masimango.
2 Reactions
1 Replies
73 Views
Hakika kila Mchuma janga hula na wa kwao, hawa akina Kingai na wenzake wameitwa Mahakamani, kiherehere chao cha kutunga kesi ya uongo ili kuokoa Mabosi wao kimewaponza, watadhalilika wao na...
8 Reactions
22 Replies
264 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mohamed Kawaida ametoa onyo kali kwa viongozi wa serikali na wa Chama hicho wanaojifanya kuwa ni wakubwa kuliko chama hicho kwamba...
8 Reactions
31 Replies
631 Views
Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake. Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
6 Reactions
20 Replies
604 Views
  • Redirect
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf. Huwa siachi kushangaa na kujiuliza. Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au...
1 Reactions
12 Replies
207 Views
Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba...
4 Reactions
61 Replies
541 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo...
192 Reactions
720 Replies
71K Views
Hello! Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia...
-1 Reactions
3 Replies
127 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…