Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini, 1.Makongoro Nyerere, Mzanaki 2. Muzamir kalokola - Mhaya 3. John Magufuli-...
19 Reactions
102 Replies
20K Views
In the Republic of Tanzura, the proverb becomes a political doctrine. The Fool Praeses Stultorum The President of Tanzura She sits in the gilded State House, draped in imported silk, yet...
10 Reactions
21 Replies
422 Views
Kwenye hili jukwaa la siasa jukwaa langu pendwa la kupoteza stress na kugain mambo ndani ya kama siku 3 hivi na hasa leo nimeona nyuzi zina miminika zikiwa na content moja ya kuonyesha Lissu anaua...
2 Reactions
17 Replies
183 Views
Hata kama hamna Akili ya kutafakari, Embu Jiulizeni tu, kwann Serikali ya Samia, imehakikisha inawachomeka nyinyi kwenye KESI hii kama Mashahidi mloitwa na LISSU ?. Kwa tafasiri ya Kawaida...
2 Reactions
2 Replies
70 Views
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka...
2 Reactions
3 Replies
522 Views
Tembelea Wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi na ujionee mwenyewe hali ya umeme wananchi wanayopata. Umeme unasomeka 150V Phase-to-Phase, badala ya 380V inayotakiwa kwa mfumo wa umeme wa awamu...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe...
86 Reactions
358 Replies
38K Views
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi. Amesema Wakala hapaswi...
17 Reactions
155 Replies
4K Views
Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na...
19 Reactions
62 Replies
1K Views
Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi...
25 Reactions
31 Replies
788 Views
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani...
2 Reactions
34 Replies
510 Views
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Je unakijua kirusi...
28 Reactions
630 Replies
59K Views
Habari Wakuu Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam...
6 Reactions
100 Replies
1K Views
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya...
0 Reactions
6 Replies
89 Views
Lissu alisema Majaji sio ma CCM kwa kutenda haki kwenye hii kesi ya Lissu na kuleta kueheshimisha mahakama tofauti na hapo kauli za Lissu zinaweza kua za kweli maana wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM
1 Reactions
9 Replies
149 Views
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja. Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na...
14 Reactions
80 Replies
3K Views
Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi...
21 Reactions
124 Replies
10K Views
Awali ya yote niseme katika nchi inayojinasibu kwa amani, utulivu, ustaarabu na kuheshimu utawala wa sheria matukio ya kikatili kama haya ya kupigana risasi, kushambuliana kwa silaha za moto au...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo...
75 Reactions
211 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…