Polepole anasema Tanzania haina uhuru wa habari, sheria hizi👇zilipitishwa yeye akiwa Mbunge na Katibu wa Itifaki na uenezi, na hakuwahi kusema kitu.
1. The Media Services Act (2016)
2. The Media...
Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 amefikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili...
Ahadi ya mgombea ubunge jimbo la Kibamba @angellah_kairuki kuhusu kurekebisha miundombinu ya jimbo hilo, baadhi ya barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami
Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuhakikisha wanapita kwenye daraja la Nyerere (maarufu kama Daraja la Kigamboni) hawalipi fedha yoyote...
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Dar es Salaam kupitia CHAUMMA Ndugu Agnesta Kaiza amsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Mamilioni kwa ajili ya kuwakopesha Wanawake na Vijana wote Nchini...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
________
Usiku wa kuamkia leo, tarehe 5/9/2025 watu “wanaojulikana” wamechoma moto gari la Mchungaji...
Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni...
Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu...
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu...
Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na...
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala...
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura...
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...