Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA...
Shamra shamra za kampeni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi!
Leo magari yenye chata la mtia nia kupitia Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda yameonekana...
Comprado...
Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini
Kumbe yule bwana ndio...
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.
Akaeleza kuwa kila mara Warioba...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, leo ameanza rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka...
Hii ni fedhea, aibu na kuporomoka Kwa ukuaji wa Demokrasia.
Kwa kuwa ni Uchaguzi wa maigizo ata media zinalipoti kiutani utani.
By the way Kuna international observers mwaka huu?
Mto wa Mbu...
Mgombea urais wa Chama cha UPDP, Twalib Kadenge amewashangaza wananchi wa Mwanza kwa staili yake ya kampeni ya kucheza muziki kila baada ya kutoa ahadi moja na kuzungumzia sera za chama chake...
Mimi niliku scout kama mtu elite na Marxist. Uliteuliwa kufanya tathmini ya Mali za chama na baadae Rais Magufuli alivutiwa na wewe akakuteua kuwa katibu mkuu wa chama na hatimae katibu mkuu...
Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mradi wa Maji wa Same–Mwanga–Korogwe ulianza rasmi mwaka 2014 baada ya utafiti wa awali kuanza mwaka 2006, lakini ulikwama kwa takriban miaka 20 kutokana na...
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au...
Toka kwa martin maranja masese (X)
"Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka...
Awamu hii ya sita, hususan baada ya Rais Samia kumteua Wambura kuwa IGP, tumeshuhudia ukatili mkubwa tena wa wazi unaotekekezwa na polisi dhidi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA.
Mara kadhaa...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha...
"Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan utumishi wake umeyagusa maisha yetu kwa namna ya kipekee kwa hakika OktobaTunatiki" sauti hizi za makundi mbalimbali...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani...
Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo...
Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed,
Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k
Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.