Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,226
Reaction score
8,192
Comprado...

Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini

Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na kesho.

Bado Kuna la bandari linakuja huko...tuandae machozi mengi ya kulia.
 
Back
Top Bottom