Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 10 Septemba 2025 ARUSHA/NAIROBI – Tarehe 29 Agosti 2025, kampuni ya Match Masters Limited, ambayo ndiyo mtengenezaji mkubwa zaidi wa viberiti salama Afrika...
2 Reactions
11 Replies
730 Views
  • Closed
Za ndaaaniiii Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki, Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu...
38 Reactions
111 Replies
4K Views
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo. 2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
"Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
383 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina...
3 Reactions
7 Replies
454 Views
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala...
4 Reactions
4 Replies
514 Views
Siku nne kabla ya taarifa ya kuachia ndege yetu huko Canada, kuna watu walipoona Zoka anarudi nchini waka weka comments kwamba kashindwa kukomboa ndege zetu, ndo maana karejeshwa, So Mara ya...
17 Reactions
113 Replies
15K Views
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo nchini, CCM ni kamisaa, mshika kibendera, refa, na mchezaji. Hivyo, mechi iitwayo uchafuzi, sorry, uchaguzi, ishakwisha. Kwanini timu sorry, tume ya uchafuzi, sorry, uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
546 Views
Siansa ni biashara, na malengo ya biashara siku zote ni kupata faida na siyo hasara. Kila anayeunga mkono au kukosoa utawara flani, anayo masilahi binafsi ya kufanya hivyo. Anayeunga mkono...
2 Reactions
59 Replies
984 Views
No offense lakini lazima tuwe wakweli... Marekani, China na Urusi ziko zilipo sio kwa sababu wana rais mzuri la hasha ni kwa sababu wavaa miwani myeusi wao wako njema! Taifa haliwezi kamwe kuwa...
57 Reactions
128 Replies
8K Views
Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi; Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda...
91 Reactions
237 Replies
24K Views
Hivi nauliza wanaomiliki SIM cards zaid ya moja tiyari wanapaswa kuziharibu nyingine na kubaki na moja? Mi nitatoa experience kwa vinchi ambavyo nimewahi tembelea na kupata SIM CARD, 1. Sweden...
16 Reactions
77 Replies
11K Views
Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea...
2 Reactions
9 Replies
813 Views
“Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia- Abdulkareem Atiki Mchambuzi wa Diplomasia na Siasa nchini.
1 Reactions
10 Replies
502 Views
Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia...
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
14 Reactions
20 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) Agnesta Lambert Kaiza amesema wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo wamemwambia kuwa kwenye...
2 Reactions
5 Replies
492 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Kikao hiko kimefanyika leo...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…