Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni miaka mingi kumekuwa na kilio cha kufanyiwa mabadiliko ya tume ya uchaguzi ila mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema kama chama cha upinzani chini ya mwenyekiti freeman...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!. Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia...
0 Reactions
4 Replies
302 Views
Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Hatujaona ushujaa kama ule,askari mmoja kapigwa teke, mwingine kapigwa ngumi. Lakini yule mtu alikuwa cornered. He was fighting his way out. Lakini kama alivyosema Afande Muliro,ukumbi ulikuwa...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
1 Reactions
6 Replies
586 Views
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa...
41 Reactions
134 Replies
6K Views
Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili...
24 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Tume imekubali pingamizi lililowasilishwa na Ndugu Hamza Saidi Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya uteuzi wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Serikali kupitia wizara ya Habari, sanaa, utamaduni na michezo imepiga marufuku Vyombo vya habari na wananchi ku post au kuhabarisha hayo matukio ya mapinduzi na kusema kuwa ni kinyume na sheria...
21 Reactions
108 Replies
4K Views
1.Kwanza angalia Mabox ya kupigia kura 2.Polisi walikuwa hawapigi raia pamoja na vurugu 3.Mkapa anaonekana Anaogopa kama vile kasukumizwa kwenye kugombea na hakuwa tiyari 4. Naona Mzee Mrema...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naanza kwa kutoa shukran kwa mwenyezi Mungu ambaye ametufikisha siku ya leo, Baada ya kuwepo habari za chini chini juu ya VATICAN- YA WARUMI na UTAWALA WA TANZANIA, kwa miaka...
6 Reactions
188 Replies
27K Views
Mgombea ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kuwa atatumia fedha za mfuko wa jimbo kutatua changamoto zao kwa haraka na...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Daraja la Ngara. Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Chukueni kila mtu lakini hili la kuchukua wanafunzi tena siku nzima ya masomo kila mwenye akili inabidi alipinge hili. Mfano nasikia huko korogwe Tanga leo kisa nchimbi wanafunzi hawana masomo...
0 Reactions
10 Replies
527 Views
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia ACT-Wazalendo Ndg.Olekai Letion Laizer amesema kuwa ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge wa Simanjiro atakwenda kutetea maslahi ya wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…