Nimemuona Mgombea ubunge jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akifanya shughuli za ujenzi, lakini pia amefika hadi ofisi za kubeti ili kuomba kura kutoka kwa wananchi hao
Sasa swali je...
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Alihaji Shekhe Ibrahim Mavumbi, ametoa wito kwa wananchi wote bila kujali dini wanayo abudu, kujitokeza kupiga kura ifikapo Oktoba 29, mwaka huu, ilkutekeleza haki...
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii...
Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Asia Halamga amesema kuwa m iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge Wa Jimbo hilo atahakikisha anamalizia miradi iliyoanzishwa...
Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi
Ikimbukwe kuwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo, amesema uteuzi wake si wa bahati mbaya bali ni dhamira ya chama chake kuhakikisha changamoto zinazowakabili...
Umoja wa Wataalamu wa Tiba za asili, pamoja na viongozi wa mila ambao ni Machifu, Watemi na Watwale kutoka mkoa wa Tabora wamekusanyika katika eneo la matambiko ya asili lililopo Izimbili kata ya...
Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia
Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kupitia kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura, limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya amekutana na makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 3000 jijini Mbeya na kuwaomba kujitokeza kupiga kura Oktoba 29...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika...
Tangu nianze kupiga kura wakati wa chama kimoja hadi leo sijawahi kuona uchaguzi kama wa mwaka huu. Uchaguzi wa kihuni na uhuni huo unafanywa waziwazi.
Watanzania inabidi ifike mahali tuseme sasa...
Wakuu!
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini kampeni za Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Ni dhahiri kwamba baadhi ya wagombea wanakabiliwa na changamoto za kifedha ambazo zinawazuia kuzunguka nchi nzima...
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa...
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.
Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani...
"Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani"...
Wakati kikwete anafunga kampeni mwaka 2005 liliangushwa bonge moja ya performance na moja ya watu walioperform ni YP (marehemu) na Ydash na nyimbo yao shemsa ile performance yao sitakaa niisahau...
Katika kampeni zinazoendelea, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, alisisitiza Sera ya Maji, akizungumza mbele ya wananchi wa Musoma Mjini.
Akitoa kauli yake, alisema: "Ni jambo la aibu...
Katika kuzisaka kura za Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, leo septemba 17, 2025 kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembela nyumba moja baada ya nyingine kuomba wananchi...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa neno mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa jana
Ametoa neno hilo leo septemba 17 akiwa Kasharunga, Muleba mkoani Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.