Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana. Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba ni msomi unampa wakati mgumu Mama Samia kutekeleza miradi ya barabara. Kwasababu mfuko wa road fund ambao Magufuli aliuanzisha kwasababu ya barabara pesa zote zinazotokana na kodi...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema jumla ya watu wenye ulemavu wapatao 8,021 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Anaaandika Mwanasiasa Jerry Muro kupitia ukurasa wake wa Instagram,. 👇👇 "Wakikuulza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao, Tunashukuru kwa mkutano mzuri wa Mgombea Nafasi ya Rais wa...
2 Reactions
5 Replies
317 Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema suala la Katiba mpya limeingizwa katika Ilani ya CCM 2025/30 kama sehemu ya dhamira...
0 Reactions
8 Replies
414 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika historia ya Taifa letu na tangia kuanza kwa mfumo wa Vyama vingi hapa Nchini. Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
1 Reactions
24 Replies
979 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla amependekeza maazimio na mapendendekezo yanayotolewa na Bunge kuhusu ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG yasiishie tu hewani bali...
0 Reactions
6 Replies
486 Views
Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya? "Ningewachambulia hapa ripoti za...
3 Reactions
2 Replies
409 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Mawakili wakinyukana kwa vifungu vya sheria, kama kuna kosa la kisheria kutishia au kujaribu kuzuia uchaguzi uliopangwa kwa mujibu wa sheria..? Pia Soma: Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia...
1 Reactions
5 Replies
338 Views
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Kwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais. Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya...
3 Reactions
8 Replies
375 Views
Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Mgombea Ubunge wa Viti maalumu kupitia Kundi la Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha, Lulu Mwacha amemshukuru Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Ningependa kujua nini maoni yakeo juu ya kifo cha hiki chama cha kisiasa hapa Tanzania. Unahisi nini kimepelekea kifo chake na je unahisi walikitegemea tayari na walishaanzisha vyama vya...
7 Reactions
28 Replies
896 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini Costa Kibonde ametoa ahadi ya kugawa boda boda Milioni moja na kuzigawa bure kabisa, lakini lazima wanufaika wapate cheti...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…